Posts

Dunia itakunjwa Kama karatasi?

​ Jibu : Hakuna mstari wowote katika biblia takatifu unaosema kwamba dunia siku moja itakunjwa kama karatasi na kutupwa motoni. Mstari ambao unawachanganya wengi ni ule wa Isaya 34:4 unaosema.. Isaya 34:4 “Na jeshi lote la mbinguni litafumuliwa, NA MBINGU ZITAKUNJWA KAMA KARATASI, na jeshi lao lote litanyauka kama vile jani la mzabibu linyaukavyo na kupukutika, na kama jani la mtini linyaukavyo na kupukutika.” Ukiisoma hiyo  Isaya 34,  utaona ni unabii wa Siku ya mwisho. Na katika huo  mstari wa 4,   unabii unasema kuwa siku hiyo   “mbingu zitakunjwa kama karatasi” . Hapo anasema “ mbingu”  na si  “nchi”  au  “ardhi”  au  “dunia”   bali mbingu!!. Hizo ndizo zitakazokunjwa kama karatasi… Na mbingu inayozungumziwa hapo sio ile Malaika watakatifu waliyopo, La!.. bali ni hii tunayoiona yenye nyota, mwezi na jua, na sayari. Na hazitakunjwa kama karatasi na kisha kutupwa motoni!.. La! Maandiko hayajasema hivyo, yameishia tu...

Kwanini Hufanikiwi?

​ UKIANZA HII MICHEZO SAHAU KUFANIKIWA 1. 📲 mikopo ya Online Hizi sio kausha damu tu, zinakausha mpaka Akili.. pesa inaingia sawa, lakini gharama yake ni kubwa kuliko unavyofikiria. Riba zake zinakula mfuko wako kimya kimya, unakuja kushtuka unaishi kulipa madeni badala ya kujenga maisha. 2. Salary Advance Kukopa mshahara wako kabla hujaufanyia kazi, unajifunga pingu mwenyewe. Kila mwezi unaanza tayari ukiwa na madeni, unaanza ukiwa nyuma kifedha, akili yako haifikirii maendeleo bali namna ya kuziba mashimo. 3. 🎰 Betting Najua hapa Utapiga tu.. Ukianza kutegemea betting kufanikiwa, akili yako inaacha kufikiria kimfumo. Unaacha kujenga chanzo cha kipato, unaanza kusubiri ushindi wa bahati ambao mara nyingi hauji. 4. 🌐 Crypto Hype & Ponzi 95% nyingi ni utapeli tu unauziwa matumaini ya kuwa tajiri siku moja. Hizi ni ahadi nzuri sana, zinaonekana kama shortcut ya utajiri. Wanakuonyesha maisha ya Dubai, lakini wanakuficha ukweli kuwa wengi wanaoingia mwisho wana hatari za kupoteza pe...

Family(Biblical Order)✅

💌 Unpopular Truth: 💌 In a culture rewriting the family at every turn, Scripture still presents one blueprint that hasn’t failed: a home built with Jesus at the top. The graphic isn’t “patriarchal oppression.” It’s the order God designed for strength, protection, unity, and spiritual covering. When Christ is the head (Ephesians 5:23), the entire home stands under a covering the world cannot provide. A husband who follows Jesus doesn’t dominate—he sacrifices, just as Christ laid His life down for the church (Ephesians 5:25). That leadership isn’t abusive, selfish, or power-driven. It’s a call to die to yourself daily for your family. That’s not weakness—it’s biblical manhood. A wife under Christ-centered leadership isn’t “less than.” She carries divine influence, wisdom, and nurturing strength (Proverbs 31). She is the heart and stability of the home. Submission isn’t servanthood—it’s alignment with God’s structure so blessing flows instead of chaos. Children are not meant to control t...

Waimbaji Hatupendani🫣

​ Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Bella Kombo, amefunguka kuhusu uwepo wa matabaka, unafiki na ukosefu wa upendo miongoni mwa waimbaji wa muziki wa Injili nchini.  Akizungumza kupitia Wasafi Media, Bella amesema baadhi ya wasanii wamejijengea makundi na kila mmoja kuwa na “ufalme wake”, hali inayodhoofisha ushirikiano katika tasnia hiyo.  Ameeleza kuwa aliwahi kuchukua hatua ya kuwakutanisha waimbaji hao kufanya ibada ya pamoja, akiwahimiza kushirikiana, kusameheana na kutambua kuwa wote wanahudumia lengo moja, lakini bado changamoto hiyo imeendelea kujitokeza.  Aidha, amesema hali hiyo imefikia hatua ya kushangaza hata waimbaji wa Injili kutoka mataifa mengine, wanaohoji ukosefu wa mshikamano miongoni mwa wasanii wa Tanzania. Kuhusu sintofahamu iliyowahi kutokea kati yake na Joel Lwaga hadi kufikia hatua ya wawili hao kuitwa BASATA, Bella amefafanua kuwa ilitokana na mkanganyiko wa ratiba za matukio yao, huku akisisitiza kuwa kwa sasa hakuna tofauti kati yao na wanaendelea...

Pasaka/Easter✝️✅

Image
✅Mambo 6 kuhusu kuhusu Pasaka usiyoyajua:-        Pasaka ni sikukuu kuu ya Kikristo inayoadhimisha ufufuko wa Yesu Kristo siku ya tatu baada ya kusulubiwa, ikimanisha  ikimanisha ushindi dhidi ya dhambi na kifo . Huadhimishwa kwa ibada, sala, na furaha, ikitanguliwa na Kwaresima (siku 40) na Ijumaa Kuu. Ina asili ya Pasaka ya Wayahudi (Pesach) iliyokumbusha ukombozi wa Israeli kutoka Misri.   JW.ORG  +4   Mambo Muhimu Kuhusu Pasaka: Maana ya Kikristo:  Ni msingi wa imani ya Kikristo, kuadhimisha ufufuko wa Yesu Kristo na ahadi ya uzima wa milele Asili ya Kiyahudi (Pesach):  Ni sikukuu iliyoagizwa na Mungu kukumbuka Waisraeli walivyookolewa na pigo la kuuawa wazaliwa wa kwanza Misri, ambapo damu ya mwanakondoo ilipakwa kwenye milango. Muda:  Tarehe za Pasaka hubadilika kila mwaka, huangukia kati ya mwezi Machi na Aprili, ikifuata mwandamo wa mwezi. Mila:  Huambatana na ibada maalum, chakula cha pamoja, na wakati mwingine kubadi...

Youth Trainning Canps

​ “YOUTH CAMPS IS A TRAINNING GROUND FOR TOMORROW CHRISTIAN LEADERS✅.” Youth Camp is not only a time for fellowship and activities—it is a spiritual training place where young people learn to follow God, serve others, and prepare for future ministry. During Youth Camp, God shapes character, strengthens faith, and teaches young believers how to stand firm in truth. 🔥 Many leaders in churches today first heard God’s calling while they were still young. When youth surrender their lives early to the Lord, they become strong examples, faithful servants, and future leaders who influence others for Christ. Youth Camp helps them discover their purpose and encourages them to live boldly for God.  📖 1 Timothy 4:12 “Let no man despise thy youth; but be thou an example of the believers, in word, in conversation, in charity, in spirit, in faith, in purity.” 📖 Proverbs 22:6 “Train up a child in the way he should go: and when he is old, he will not depart from it.” Humbly Folow Us🙏

Invest in Children’s

​ “Investing in children is investing in GOD’S kingdom.” 👉 Children are precious in God’s sight, and teaching them His Word helps shape their faith, character, and future. When we guide children to know Jesus, we are planting seeds that will grow for a lifetime and even impact the next generation. Children’s ministry is not just preparation for the future—it is present kingdom work that brings glory to God. 👉 As teachers, parents, and church workers faithfully train children in the ways of the Lord, they help build strong believers who will love, serve, and follow Christ. Every lesson taught, prayer offered, and encouragement given to a child is an investment with eternal value. 🌱📖 Proverbs 22:6 (KJV) “Train up a child in the way he should go: and when he is old, he will not depart from it.” Matthew 19:14 (KJV) “But Jesus said, Suffer little children, and forbid them not, to come unto me: for of such is the kingdom of heaven.” 🫃👨‍🍼🫃👨‍🍼🫃👨‍🍼🫃👨‍🍼🫃👨‍🍼🫃👨‍🍼🫃👨‍🍼

Manchester City Winner🥇🏆EFL2️⃣0️⃣2️⃣6️⃣

🩵🤍🏆2️⃣0️⃣2️⃣6️⃣✅ ​ Manchester City won 2-0 in the 2026 EFL Cup final against Arsenal 👉 as the side coached by Pep Guardiola won what can potentially become the last trophy under his management amind rumors of him potentially leaving the club.  👉Arsenal, on the other hand, lost the chance to win their first trophy of the season but are still in contention to win both the Premier League and the UEFA Champions League in the coming weeks.  👉Even if it wasn't an exciting first half, things got much better in the second part of the game when the brace scored by Nico O'Reilly decided the final.  👉In particular, the opening goal came after a big mistake made by Arsenal goalkeeper Kepa Arrizabalaga who lost contact with the ball and let O'Reilly scoring the first goal. Drop your comment how did you see the final ⚽️game?

Achraf Hakimi🇲🇦 akataa Kombe

​ “Mama yangu aliniambia nikatae kombe la AFCON. Rasmi ninakataa kombe hilo na natumaini wenzangu watafanya hivyo pia. Tulikuwa na nafasi ya kulishinda, lakini hatukuweza kushinda. Hiyo ndiyo soka, wakati mwingine unashinda na wakati mwingine unapoteza. Senegal waliifunga timu yetu kwa haki na wanastahili ushindi huo. Itakuwa si haki kuharibu furaha yao baada ya juhudi kubwa walizoweka. Ninaheshimu maamuzi ya CAF, lakini rasmi ninakataa kombe hilo. Sikushinda AFCON 2025. Hongera kwa Senegal kwa mara nyingine.”—Achraf Hakimi, beki wa Morocco 🇲🇦 Mtaalam wakusawazisha mambo A.Hakimi Je, unamaoni gani mdau?

Hakimi rejects the Trophy🏆😱

​ 🇲🇦Achraf HAKIMI 🗣️: “My mum told me to reject the AFCON trophy. I'm officially rejecting the trophy and hope my teammates do the same. We had a chance to win it but we failed to win it.  👉 That's football, sometimes you win and sometimes you lose. Senegal beat us fairly and deserved the win. It will be unfair to ruin their joy after the hardwork they put in. I respect the CAF decision but I'm officially rejecting the trophy. I didn't win 2025 AFCON. Congratulations to Senegal once again.” 👉At least he won some towels on the pitch 😃 But this really sounds like FAKE INTERVIEW, WHY ??? HAKIMI is the Captain of the Moroccan national team, saying this will be like opposing the MOROCCO FA and fans who so much want this title.. He would never dare say this.. He's low-key enjoying every bit of what CAF is doing..🤣😭 Comment your opinions📩

Pep Guardiola Reacts..

​ Pep Guardiola reacts on  2025 AFCON title given to 🇲🇦Morocco.👇:- 👉 "It's a surprise. I don't have a proper opinion because I don't know the reason why. I didn't read, didn't see... 👉"But it's a decision made behind-the-scenes. What happens everywhere is what we see, it's not happened, it always happens behind the scenes and you don't see their faces. That is what happens lately in football and all around the world in other subjects..." 👉 Even Pep Guardiola is shocked. Imagine Manchester City being stripped of all her titles because of the 100+ charges , yeah that is something close to what CAF has done to Sénégal. What are your comments?

Morocco🇲🇦 Wins AFCON2025🏆

  The  CAF Appeal Board decided that in application of Article 84 of the Regulations of the CAF Africa Cup of Nations (AFCON), the Senegal National Team is declared to have forfeited the Final Match of the TotalEnergies CAF Africa Cup of Nations (AFCON) Morocco 2025 (“the Match”), with the result of the Match being recorded as 3–0 in favour of the Fédération Royale Marocaine de Football (FRMF). The Confédération Africaine de Football (“CAF”) Appeal Board decided today that in application of Article 84 of the Regulations of the CAF Africa Cup of Nations (AFCON), the Senegal National Team is declared to have forfeited the Final Match of the TotalEnergies CAF Africa Cup of Nations (AFCON) Morocco 2025 (“the Match”), with the result of the Match being recorded as 3–0 in favour of the Fédération Royale Marocaine de Football (FRMF). On the appeal by the FRMF regarding the application of Articles 82 and 84 of the Regulations of the CAF Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Appeal Bo...

Uzuri Wa Mazoezi Yakukimbia

​ FAIDA 4 ZA KIAFYA ZA KUFANYA MAZOEZI YA KUKIMBIA. 1. Huimarisha kinga dhidi ya magonjwa  Utafiti unaonyesha  kwamba zoezi la kukimbia humsaidia mtu kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa kama vile mshtuko, kisukari na presha ya kushuka. Kwa kufanya zoezi la kukimbia mtu huimarisha kinga ya mwili wake na pia hufanyisha mazoezi misuli ya moyo na mishipa yake na hivyo basi kupunguza uwezekano wa maradhi ya moyo   2. Husaidia kupunguza uzito na unene     Swala la kupunguza unene wa mwili ni kati ya maswala ambayo huwatesa sana watu na mda mwingine hupelekea mtu kuchukua atua kama vile opareshen ya kutoa mafuta(contouring). Kutokana na utafiti unaonyesha kuwa zoezi la kukimbia ni kati za mazoezi yanayopunguza sana unene na kumfanya mtu kuwa na mwili mzuri wa mazoezi, basi inashauriwa mtu kufanya zoezi hili angalau mara tatu kwa wiki.   3. Husaidia kupnguza msongo wa mawazo  Kutokana na pilikapilika za kila siku za maisha msongo wa mawazo ni kitu cha ...

MAJINA YA ZAMANI(Ki Biblia) YA MATAIFA YA SASA

​ Biblia inaeleza historia ya maeneo mengi ya dunia kwa majina yaliyotumika maelfu ya miaka iliyopita. Kadiri karne zilivyopita, majina ya mataifa na maeneo mengi yalibadilika kutokana na mabadiliko ya tawala, lugha, na tamaduni. Hapa chini ni mifano ya baadhi ya mataifa ya sasa na majina yao ya zamani katika Biblia. 1. Israel – Zamani iliitwa Kanaani Katika Biblia, eneo ambalo leo linajulikana kama Israel liliitwa Kanaani (Canaan) kabla ya Waisraeli kulimiliki. Kanaani ilikuwa nchi iliyokaliwa na makabila mengi kabla ya kuja kwa wana wa Israel wakiongozwa na Joshua.Baada ya kuundwa kwa taifa la Israel chini ya King David na King Solomon, jina la Israel likaanza kutumika zaidi takribani mwaka 1000 KK. 2. Iran – Zamani iliitwa Uajemi (Persia) Katika Biblia taifa hili linajulikana kama Uajemi (Persia). Lilikuwa chini ya wafalme mashuhuri kama Cyrus the Great ambaye aliruhusu Wayahudi kurudi Yerusalemu.Jina rasmi la Persia lilibadilishwa kuwa Iran mwaka 1935 wakati wa utawala wa Reza Shah...

UNACHELEWA KANISANI, UNAWAHI KAZINI!🫣

KWANINI KUCHELEWA KANISANI NA UNAWAHI KAZINI? ​ "Mapema kwa Kazi - Lakini Umechelewa Kanisani?"  Maandishi ya Biblia: "Mheshimu Bwana kwa mali yako, na malimbuko ya mazao yako yote." — Methali 3:9  Watu wengi huwa waangalifu kuhusu ratiba zao linapokuja suala la kazi.   👉Wanaamka mapema, kujitayarisha, na kujaribu kutochelewa.   👉Kufika kwa wakati kunaonyesha wajibu na heshima kwa kazi.  🤔Lakini linapokuja suala la kanisa, wakati mwingine mtazamo unakuwa tofauti. Wengine huchelewa kufika, hukimbilia ibadani, au huja bila kutayarisha mioyo yao kwa ajili ya ibada.  😢👉Polepole, ibada inaweza kuwa kitu cha kawaida badala ya kitu kitakatifu.  🏃‍➡️🏃‍♀️‍➡️💒Kuja kanisani mapema sio wakati tu. Inaonyesha kipaumbele chetu na heshima kwa Mungu. 💌👉 Tunapotayarisha mioyo yetu na kuja mapema, tunajipa muda wa kutulia, kuomba, na kumzingatia Mungu. Kuabudu kunakuwa na maana zaidi tunapokuja na moyo tayari. Kupitia Yesu Kristo, tunajifunza kwamba k...

KISA MAVAZI, MCHUNGAJI AWATIMUA MAHARUSI

​ Kasisi mmoja mkali alisitisha sherehe ya harusi kwa muda baada ya kuamuru treni ya bi harusi kuondoka kanisani kwa kile alichotaja kuwa mavazi yasiyofaa.  Akiwa na wasiwasi kuhusu mavazi yanayovaliwa na mabibi hao, kasisi huyo alisisitiza kwamba watoke nje ya kanisa mara moja.  Katika video zinazosambaa mtandaoni, kasisi huyo aliyeonekana kukasirika alionya kwamba angewaondoa kibinafsi ikiwa wangekataa kuondoka kwenye jumba hilo kimya kimya.  Maharusi hao waliokuwa wamevalia gauni za kijani zisizo na mikono, hatimaye walitoka nje ya kanisa hilo bila kusababisha tukio.  Wakati huo huo, maharusi walitazama bila la kufanya hali ikiendelea huku wageni wao wakiwatazama kwa mshtuko.  Baadaye mchungaji alitumia wakati huo kuhubiri kuhusu umuhimu wa kuvaa kwa kiasi katika nyumba ya Mungu. UNADHANI MCHUNGAJI YUKO SAWA? 

CHRISTIAN RELATIONS BEFORE MARRIAGE💍💌

​ PURE RELATIONSHIP TO HOLY MARRIAGE 🤍 Maintaining a Healthy Christian Relationship ...   A Christian relationship is a Christ-centered partnership between two believers, aimed at honoring God, fostering spiritual growth, and often looking toward marriage. It is characterized by purity, mutual respect, intentionality, and being "equally yoked"—sharing a similar commitment to following Jesus.  💌 🙏Key principles include seeking God first, establishing physical boundaries, and displaying sacrificial love.  Key Principles of a Christian Relationship:- Christ-Centered Focus:  The relationship is not just for emotional fulfillment but to serve God together and, for couples, to build a godly family. Being Equally Yoked:  Both partners should be committed believers, moving at a similar spiritual pace to avoid conflict in faith. Physical Purity and Boundaries:  While waiting for marriage, couples are encouraged to maintain sexual purity and set strict boundaries ...

KUHUSU LAANA

​ KUHUSU LAANA (MAKALA) KUHUSU LAANA Katika waraka huu tunataka kuangalia juu ya wazo hili la “laana” itokanayo na mambo yaliyopita.  Tunataka kuangalia, iwapo laana ya mtu binafsi au itokanayo na vizazi vilivyopita, inaweza kuwafungia wakristo ndani ya vifungo na kuwazuia kutokana na kupokea baraka za Mungu na Urithi wao katika Kristo.  Kuanzia hapa mwanzoni mwa makala hii, hebu tuweke wazi kabisa kuwa hapa tunaongelea kuhusu mtu ambaye amehukumiwa kwa tendo la dhambi zake, akatubu na kugeuka kutoka katika dhambi zake, na akamwamini Bwana na Mwokozi Yesu Kristo kwa ajili ya wokovu wake, amezaliwa mara ya pili na kujazwa Roho wa Mungu, ameingizwa katika Agano Jipya ndani na kupitia Yesu Kristo. Hapa, kwa mtu huyo, hakuna zaidi! Hakuna kitu kilicho pungua na kwa wakristo kama ilivyoelezwa katika Agano Jipya, kuwa wakristo wa aina hiyo kama mitume walivyokuwa wakiwaandikia. Ushahidi wa Agano Jipya Bofya Hapa👇Kuendelea Kusoma https://somabiblia.com/juu-ya-laana-mafundisho-ya-bib...

BARAKA ZA BWANA

​ POKEA BARAKA ZA BWANA Kuna aina tano(5) za baraka atoazo MUNGU kwa watu wake. 1. Baraka za afya. 2. Baraka za uchumi. 3. Baraka za ndoa. 4. Baraka za uzao. 5. Baraka za kutamalaki. Baraka yake kutamalaki kwa jina lingine inaitwa Kumiliki na kutawala,  Sasa moja ya mamlaka ya Mteule wa MUNGU aliyeokolewa na Bwana YESU ni kumiliki na kutawala kwenye ulimwengu wa roho. Tunamiliki na kutawala kwa sababu tuna mamlaka ya jina la YESU KRISTO. Jukumu la kwanza tulilopewa wanadamu na MUNGU Muumba wetu ni kutawala. Mwanzo 1:26-27 ''MUNGU akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; WAKATAWALE samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. MUNGU akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba'' Kwa jinsi hiyo mteule wa MUNGU hatakiwi kutawaliwa nguvu za kiumbe yeyote duniani anayetumika kishetani. Mkristo hutakiwi kutawaliwa na chochote cha kipepo. Sasa il...

MATOKEO NECTA 2025

MATOKEO YA NECTA YAMETOKA🇹🇿 BOFYA HAPA KUFUNGUA / CLICK HERE TO OPEN ​ MPYA📩MATOKEO YA NECTA 2025