Posts

Showing posts with the label telegram

Aina 10 za Wanawake wakuepuka

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE  ​Ikiwa wewe ni mwanamume mwenye maono, hatima (destiny), na kusudi, huwezi kuruhusu mwanamke asiye sahihi aharibu maisha yako. Biblia haimung’unyi maneno kuhusu hili; inakupa maonyo ya wazi na makali. Lakini wanaume wengi wanayapuuza na kuishia kufilisika, kuvunjika moyo, na kufungwa. ​Hizi hapa ni aina 10 za wanawake hatari ambao Maandiko na hekima ya kimungu vinakuamuru ukae nao mbali kabisa: ​1️⃣ MWANAMKE MZINZI (Mithali 5:3–5) ☠️ ​Midomo yake inadondosha asali, maneno yake ni laini, lakini miguu yake inaelekea mauti. Ni hatari. Ataharibu hatima yako kwa tamaa za mwili. ​2️⃣ MWANAMKE MGOMVI NA MWENYE KELELE (Mithali 21:9 & 25:24) ⛈️ ​Ni afadhali kukaa kwenye pembe ya dari au nyikani kuliko kukaa nyumba moja na mwanamke mgomvi. Atanyonya nafsi yako, atamaliza nguvu zako, na kuzika amani yako. ​3️⃣ MWANAMKE MSENGENYAJI (1 Timotheo 5:13) πŸ‘… ​Watu wasio na kazi, wanaozurura nyumba kwa nyumba, wakiongea mambo yasiyofaa na kupan...

Kwanini Hufanikiwi?

​ UKIANZA HII MICHEZO SAHAU KUFANIKIWA 1. πŸ“² mikopo ya Online Hizi sio kausha damu tu, zinakausha mpaka Akili.. pesa inaingia sawa, lakini gharama yake ni kubwa kuliko unavyofikiria. Riba zake zinakula mfuko wako kimya kimya, unakuja kushtuka unaishi kulipa madeni badala ya kujenga maisha. 2. Salary Advance Kukopa mshahara wako kabla hujaufanyia kazi, unajifunga pingu mwenyewe. Kila mwezi unaanza tayari ukiwa na madeni, unaanza ukiwa nyuma kifedha, akili yako haifikirii maendeleo bali namna ya kuziba mashimo. 3. 🎰 Betting Najua hapa Utapiga tu.. Ukianza kutegemea betting kufanikiwa, akili yako inaacha kufikiria kimfumo. Unaacha kujenga chanzo cha kipato, unaanza kusubiri ushindi wa bahati ambao mara nyingi hauji. 4. 🌐 Crypto Hype & Ponzi 95% nyingi ni utapeli tu unauziwa matumaini ya kuwa tajiri siku moja. Hizi ni ahadi nzuri sana, zinaonekana kama shortcut ya utajiri. Wanakuonyesha maisha ya Dubai, lakini wanakuficha ukweli kuwa wengi wanaoingia mwisho wana hatari za kupoteza pe...

JOIN ANY PLATFORM FASTER

​ PLATFORMS HELP YOU GET THINGS FASTER WITH LESS EFFORTS, we are in the fats growing worlds technology thus we have no way out to respond the danceπŸ“± BELOW CHOOSE THE PLATFORM YOU LIKE AND CLICK TO SignUpπŸ‘‡ πŸ‘‰  YouTube πŸ‘‰  Facebook πŸ‘‰  TikTok πŸ‘‰  Instagram/IG πŸ‘‰  LinkedIn πŸ‘‰  WeChat πŸ‘‰  Snapchat πŸ‘‰  X(Twitter) πŸ‘‰  Telegram πŸ‘‰  Reddit