Posts

Showing posts with the label Platforms

Choose Wisely+

⚖️ TWO SPIRITS, TWO DIRECTIONS: CARNAL CONTROL vs CHRIST-CENTERED CHARACTER πŸ”° INTRODUCTION The Bible presents clear contrasts—not to condemn people, but to reveal spiritual conditions. In the image, we see two patterns: one marked by manipulation and carnality, the other by humility and godliness.  In this Dispensation of Grace, transformation does not come by law-keeping—but by new identity in Christ. πŸ“– 2 Corinthians 5:17 πŸ“– Galatians 5:16–17 πŸ“– Colossians 2:10 πŸ‘‰ The question is not “which personality do you have?” but which nature are you walking in? πŸ”΄ 1️⃣ CARNAL CONTROLLED NATURE (The flesh dominating life) πŸ“– Romans 8:7–8 πŸ“– Galatians 5:19 A. Self-Exalting Attitude – Wants control B. Sinful Desires – Works of the flesh C. Stubborn Will – Rejects correction D. Separation from God – Cannot please Him πŸ”΅ 2️⃣ CHRIST-CENTERED NEW NATURE (The believer’s new identity) πŸ“– 2 Corinthians 5:17 πŸ“– Colossians 3:10 A. Spiritual Transformation – New creature B. Scriptural Mindset – Renewe...

MAOMBI YA TOBA NA REHEMA

​ MAOMBI YA TOBA NA REHEMA πŸ“– Zaburi 51:1–2 “Ee Mungu, unirehemu sawasawa na fadhili zako; Kwa wingi wa rehema zako, uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.” MAOMBI YA TOBA NA REHEMA🧎 Ee Baba wa mbinguni, Nakuja mbele zako kwa unyenyekevu mkubwa, nikiwa na moyo wa toba. Bwana, nakuomba unirehemu sawasawa na wingi wa fadhili zako. Nisamehe dhambi zangu zote — nilizozifanya kwa kujua na hata zile nilizozifanya bila kujua. Ee Mungu wangu, yamkini kuna mlango niliufungua kwa njia ya dhambi, mlango uliompa nafasi adui kuingia katika maisha yangu. Kwa jina la Yesu, ninatubu leo kwa dhati. Naomba unioshe kwa damu ya Yesu, unitakase kabisa na uovu wangu. Bwana, kila mahali nilipokosea, kila hatua niliyopotoka, naomba rehema zako zifute hatia yangu. Ee Mungu, ikiwa shetani ametumia udhaifu wangu kunirudisha nyuma, hasa kupitia ndoto za shule, kunizuia nisipige hatua, leo nasimama kinyume na hilo. Kwa mamlaka ya jina la Yesu, ninafunga kila mlango wa dhambi n...

Aina 10 za Wanawake wakuepuka

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE  ​Ikiwa wewe ni mwanamume mwenye maono, hatima (destiny), na kusudi, huwezi kuruhusu mwanamke asiye sahihi aharibu maisha yako. Biblia haimung’unyi maneno kuhusu hili; inakupa maonyo ya wazi na makali. Lakini wanaume wengi wanayapuuza na kuishia kufilisika, kuvunjika moyo, na kufungwa. ​Hizi hapa ni aina 10 za wanawake hatari ambao Maandiko na hekima ya kimungu vinakuamuru ukae nao mbali kabisa: ​1️⃣ MWANAMKE MZINZI (Mithali 5:3–5) ☠️ ​Midomo yake inadondosha asali, maneno yake ni laini, lakini miguu yake inaelekea mauti. Ni hatari. Ataharibu hatima yako kwa tamaa za mwili. ​2️⃣ MWANAMKE MGOMVI NA MWENYE KELELE (Mithali 21:9 & 25:24) ⛈️ ​Ni afadhali kukaa kwenye pembe ya dari au nyikani kuliko kukaa nyumba moja na mwanamke mgomvi. Atanyonya nafsi yako, atamaliza nguvu zako, na kuzika amani yako. ​3️⃣ MWANAMKE MSENGENYAJI (1 Timotheo 5:13) πŸ‘… ​Watu wasio na kazi, wanaozurura nyumba kwa nyumba, wakiongea mambo yasiyofaa na kupan...

Dunia itakunjwa Kama karatasi?

​ Jibu : Hakuna mstari wowote katika biblia takatifu unaosema kwamba dunia siku moja itakunjwa kama karatasi na kutupwa motoni. Mstari ambao unawachanganya wengi ni ule wa Isaya 34:4 unaosema.. Isaya 34:4 “Na jeshi lote la mbinguni litafumuliwa, NA MBINGU ZITAKUNJWA KAMA KARATASI, na jeshi lao lote litanyauka kama vile jani la mzabibu linyaukavyo na kupukutika, na kama jani la mtini linyaukavyo na kupukutika.” Ukiisoma hiyo  Isaya 34,  utaona ni unabii wa Siku ya mwisho. Na katika huo  mstari wa 4,   unabii unasema kuwa siku hiyo   “mbingu zitakunjwa kama karatasi” . Hapo anasema “ mbingu”  na si  “nchi”  au  “ardhi”  au  “dunia”   bali mbingu!!. Hizo ndizo zitakazokunjwa kama karatasi… Na mbingu inayozungumziwa hapo sio ile Malaika watakatifu waliyopo, La!.. bali ni hii tunayoiona yenye nyota, mwezi na jua, na sayari. Na hazitakunjwa kama karatasi na kisha kutupwa motoni!.. La! Maandiko hayajasema hivyo, yameishia tu...

Kwanini Hufanikiwi?

​ UKIANZA HII MICHEZO SAHAU KUFANIKIWA 1. πŸ“² mikopo ya Online Hizi sio kausha damu tu, zinakausha mpaka Akili.. pesa inaingia sawa, lakini gharama yake ni kubwa kuliko unavyofikiria. Riba zake zinakula mfuko wako kimya kimya, unakuja kushtuka unaishi kulipa madeni badala ya kujenga maisha. 2. Salary Advance Kukopa mshahara wako kabla hujaufanyia kazi, unajifunga pingu mwenyewe. Kila mwezi unaanza tayari ukiwa na madeni, unaanza ukiwa nyuma kifedha, akili yako haifikirii maendeleo bali namna ya kuziba mashimo. 3. 🎰 Betting Najua hapa Utapiga tu.. Ukianza kutegemea betting kufanikiwa, akili yako inaacha kufikiria kimfumo. Unaacha kujenga chanzo cha kipato, unaanza kusubiri ushindi wa bahati ambao mara nyingi hauji. 4. 🌐 Crypto Hype & Ponzi 95% nyingi ni utapeli tu unauziwa matumaini ya kuwa tajiri siku moja. Hizi ni ahadi nzuri sana, zinaonekana kama shortcut ya utajiri. Wanakuonyesha maisha ya Dubai, lakini wanakuficha ukweli kuwa wengi wanaoingia mwisho wana hatari za kupoteza pe...

JOIN ANY PLATFORM FASTER

​ PLATFORMS HELP YOU GET THINGS FASTER WITH LESS EFFORTS, we are in the fats growing worlds technology thus we have no way out to respond the danceπŸ“± BELOW CHOOSE THE PLATFORM YOU LIKE AND CLICK TO SignUpπŸ‘‡ πŸ‘‰  YouTube πŸ‘‰  Facebook πŸ‘‰  TikTok πŸ‘‰  Instagram/IG πŸ‘‰  LinkedIn πŸ‘‰  WeChat πŸ‘‰  Snapchat πŸ‘‰  X(Twitter) πŸ‘‰  Telegram πŸ‘‰  Reddit