Pasaka/Easter✝️✅

✅Mambo 6 kuhusu kuhusu Pasaka usiyoyajua:-

      Pasaka ni sikukuu kuu ya Kikristo inayoadhimisha ufufuko wa Yesu Kristo siku ya tatu baada ya kusulubiwa, ikimanisha ikimanisha ushindi dhidi ya dhambi na kifo

. Huadhimishwa kwa ibada, sala, na furaha, ikitanguliwa na Kwaresima (siku 40) na Ijumaa Kuu. Ina asili ya Pasaka ya Wayahudi (Pesach) iliyokumbusha ukombozi wa Israeli kutoka Misri.

Comments

Popular posts from this blog

BARAKA ZA BWANA

CHRISTIAN RELATIONS BEFORE MARRIAGE💍💌