Posts

Showing posts from April, 2026

Dunia itakunjwa Kama karatasi?

​ Jibu : Hakuna mstari wowote katika biblia takatifu unaosema kwamba dunia siku moja itakunjwa kama karatasi na kutupwa motoni. Mstari ambao unawachanganya wengi ni ule wa Isaya 34:4 unaosema.. Isaya 34:4 “Na jeshi lote la mbinguni litafumuliwa, NA MBINGU ZITAKUNJWA KAMA KARATASI, na jeshi lao lote litanyauka kama vile jani la mzabibu linyaukavyo na kupukutika, na kama jani la mtini linyaukavyo na kupukutika.” Ukiisoma hiyo  Isaya 34,  utaona ni unabii wa Siku ya mwisho. Na katika huo  mstari wa 4,   unabii unasema kuwa siku hiyo   “mbingu zitakunjwa kama karatasi” . Hapo anasema “ mbingu”  na si  “nchi”  au  “ardhi”  au  “dunia”   bali mbingu!!. Hizo ndizo zitakazokunjwa kama karatasi… Na mbingu inayozungumziwa hapo sio ile Malaika watakatifu waliyopo, La!.. bali ni hii tunayoiona yenye nyota, mwezi na jua, na sayari. Na hazitakunjwa kama karatasi na kisha kutupwa motoni!.. La! Maandiko hayajasema hivyo, yameishia tu...

Kwanini Hufanikiwi?

​ UKIANZA HII MICHEZO SAHAU KUFANIKIWA 1. 📲 mikopo ya Online Hizi sio kausha damu tu, zinakausha mpaka Akili.. pesa inaingia sawa, lakini gharama yake ni kubwa kuliko unavyofikiria. Riba zake zinakula mfuko wako kimya kimya, unakuja kushtuka unaishi kulipa madeni badala ya kujenga maisha. 2. Salary Advance Kukopa mshahara wako kabla hujaufanyia kazi, unajifunga pingu mwenyewe. Kila mwezi unaanza tayari ukiwa na madeni, unaanza ukiwa nyuma kifedha, akili yako haifikirii maendeleo bali namna ya kuziba mashimo. 3. 🎰 Betting Najua hapa Utapiga tu.. Ukianza kutegemea betting kufanikiwa, akili yako inaacha kufikiria kimfumo. Unaacha kujenga chanzo cha kipato, unaanza kusubiri ushindi wa bahati ambao mara nyingi hauji. 4. 🌐 Crypto Hype & Ponzi 95% nyingi ni utapeli tu unauziwa matumaini ya kuwa tajiri siku moja. Hizi ni ahadi nzuri sana, zinaonekana kama shortcut ya utajiri. Wanakuonyesha maisha ya Dubai, lakini wanakuficha ukweli kuwa wengi wanaoingia mwisho wana hatari za kupoteza pe...

Family(Biblical Order)✅

💌 Unpopular Truth: 💌 In a culture rewriting the family at every turn, Scripture still presents one blueprint that hasn’t failed: a home built with Jesus at the top. The graphic isn’t “patriarchal oppression.” It’s the order God designed for strength, protection, unity, and spiritual covering. When Christ is the head (Ephesians 5:23), the entire home stands under a covering the world cannot provide. A husband who follows Jesus doesn’t dominate—he sacrifices, just as Christ laid His life down for the church (Ephesians 5:25). That leadership isn’t abusive, selfish, or power-driven. It’s a call to die to yourself daily for your family. That’s not weakness—it’s biblical manhood. A wife under Christ-centered leadership isn’t “less than.” She carries divine influence, wisdom, and nurturing strength (Proverbs 31). She is the heart and stability of the home. Submission isn’t servanthood—it’s alignment with God’s structure so blessing flows instead of chaos. Children are not meant to control t...

Waimbaji Hatupendani🫣

​ Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Bella Kombo, amefunguka kuhusu uwepo wa matabaka, unafiki na ukosefu wa upendo miongoni mwa waimbaji wa muziki wa Injili nchini.  Akizungumza kupitia Wasafi Media, Bella amesema baadhi ya wasanii wamejijengea makundi na kila mmoja kuwa na “ufalme wake”, hali inayodhoofisha ushirikiano katika tasnia hiyo.  Ameeleza kuwa aliwahi kuchukua hatua ya kuwakutanisha waimbaji hao kufanya ibada ya pamoja, akiwahimiza kushirikiana, kusameheana na kutambua kuwa wote wanahudumia lengo moja, lakini bado changamoto hiyo imeendelea kujitokeza.  Aidha, amesema hali hiyo imefikia hatua ya kushangaza hata waimbaji wa Injili kutoka mataifa mengine, wanaohoji ukosefu wa mshikamano miongoni mwa wasanii wa Tanzania. Kuhusu sintofahamu iliyowahi kutokea kati yake na Joel Lwaga hadi kufikia hatua ya wawili hao kuitwa BASATA, Bella amefafanua kuwa ilitokana na mkanganyiko wa ratiba za matukio yao, huku akisisitiza kuwa kwa sasa hakuna tofauti kati yao na wanaendelea...

Pasaka/Easter✝️✅

Image
✅Mambo 6 kuhusu kuhusu Pasaka usiyoyajua:-        Pasaka ni sikukuu kuu ya Kikristo inayoadhimisha ufufuko wa Yesu Kristo siku ya tatu baada ya kusulubiwa, ikimanisha  ikimanisha ushindi dhidi ya dhambi na kifo . Huadhimishwa kwa ibada, sala, na furaha, ikitanguliwa na Kwaresima (siku 40) na Ijumaa Kuu. Ina asili ya Pasaka ya Wayahudi (Pesach) iliyokumbusha ukombozi wa Israeli kutoka Misri.   JW.ORG  +4   Mambo Muhimu Kuhusu Pasaka: Maana ya Kikristo:  Ni msingi wa imani ya Kikristo, kuadhimisha ufufuko wa Yesu Kristo na ahadi ya uzima wa milele Asili ya Kiyahudi (Pesach):  Ni sikukuu iliyoagizwa na Mungu kukumbuka Waisraeli walivyookolewa na pigo la kuuawa wazaliwa wa kwanza Misri, ambapo damu ya mwanakondoo ilipakwa kwenye milango. Muda:  Tarehe za Pasaka hubadilika kila mwaka, huangukia kati ya mwezi Machi na Aprili, ikifuata mwandamo wa mwezi. Mila:  Huambatana na ibada maalum, chakula cha pamoja, na wakati mwingine kubadi...

Youth Trainning Canps

​ “YOUTH CAMPS IS A TRAINNING GROUND FOR TOMORROW CHRISTIAN LEADERS✅.” Youth Camp is not only a time for fellowship and activities—it is a spiritual training place where young people learn to follow God, serve others, and prepare for future ministry. During Youth Camp, God shapes character, strengthens faith, and teaches young believers how to stand firm in truth. 🔥 Many leaders in churches today first heard God’s calling while they were still young. When youth surrender their lives early to the Lord, they become strong examples, faithful servants, and future leaders who influence others for Christ. Youth Camp helps them discover their purpose and encourages them to live boldly for God.  📖 1 Timothy 4:12 “Let no man despise thy youth; but be thou an example of the believers, in word, in conversation, in charity, in spirit, in faith, in purity.” 📖 Proverbs 22:6 “Train up a child in the way he should go: and when he is old, he will not depart from it.” Humbly Folow Us🙏