KUHUSU LAANA

KUHUSU LAANA (MAKALA)

KUHUSU LAANA

Katika waraka huu tunataka kuangalia juu ya wazo hili la “laana” itokanayo na mambo yaliyopita.

 Tunataka kuangalia, iwapo laana ya mtu binafsi au itokanayo na vizazi vilivyopita, inaweza kuwafungia wakristo ndani ya vifungo na kuwazuia kutokana na kupokea baraka za Mungu na Urithi wao katika Kristo.

 Kuanzia hapa mwanzoni mwa makala hii, hebu tuweke wazi kabisa kuwa hapa tunaongelea kuhusu mtu ambaye amehukumiwa kwa tendo la dhambi zake, akatubu na kugeuka kutoka katika dhambi zake, na akamwamini Bwana na Mwokozi Yesu Kristo kwa ajili ya wokovu wake, amezaliwa mara ya pili na kujazwa Roho wa Mungu, ameingizwa katika Agano Jipya ndani na kupitia Yesu Kristo. Hapa, kwa mtu huyo, hakuna zaidi! Hakuna kitu kilicho pungua na kwa wakristo kama ilivyoelezwa katika Agano Jipya, kuwa wakristo wa aina hiyo kama mitume walivyokuwa wakiwaandikia.

Ushahidi wa Agano Jipya

Bofya Hapa👇Kuendelea Kusoma


https://somabiblia.com/juu-ya-laana-mafundisho-ya-biblia/


Comments

Popular posts from this blog

BARAKA ZA BWANA

Pasaka/Easter✝️✅

CHRISTIAN RELATIONS BEFORE MARRIAGE💍💌