Achraf Hakimi🇲🇦 akataa Kombe

“Mama yangu aliniambia nikatae kombe la AFCON. Rasmi ninakataa kombe hilo na natumaini wenzangu watafanya hivyo pia. Tulikuwa na nafasi ya kulishinda, lakini hatukuweza kushinda.

Hiyo ndiyo soka, wakati mwingine unashinda na wakati mwingine unapoteza. Senegal waliifunga timu yetu kwa haki na wanastahili ushindi huo. Itakuwa si haki kuharibu furaha yao baada ya juhudi kubwa walizoweka.

Ninaheshimu maamuzi ya CAF, lakini rasmi ninakataa kombe hilo. Sikushinda AFCON 2025. Hongera kwa Senegal kwa mara nyingine.”—Achraf Hakimi, beki wa Morocco 🇲🇦

Mtaalam wakusawazisha mambo A.Hakimi
Je, unamaoni gani mdau?

Comments

Popular posts from this blog

BARAKA ZA BWANA

Pasaka/Easter✝️✅

CHRISTIAN RELATIONS BEFORE MARRIAGE💍💌